Watu mbali mbali walijitokeza kumuaga Mangwea kwenye Viwanja vya Leaders jijini Dar leo.
Ommy Dimpoz akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Mangwea.
Wasanii mbali mbali
Wadau.
Ndugu na jamaa wa Marehemu Mangwea.
Mazungumzo ya hapa na pale.
DJ Venture akimzungumzia Marehemu Mangwea.
Wasanii mbali mbali wakiwa viwanjani hapo.
Wadau.
Ulinzi ulikuwa ni wakutosha kabisa.