- HALI NI MBAYA! BAADA YA WATU KUKIMBIZWA MT. MERU HOSPITAWAUGUZI WATIMUA MBIO NA KULAZIMISHWA WATU WAPELEKWE SELIANI
HAWA NDIYO WALISHAMBULIWA KWA BOMU NA KUOFIWA KUFA
BAADHI YA MAJERUHI WA BOMU LAKUTUPWA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA SOWETO
HIZI NI DAMU ZILIZOTAPAKA HAPA CHINI
HIZI NI DAMU ZILIZOTAPAKA HAPA CHINI
HIZI NI DAMU ZILIZOTAPAKA HAPA CHINI
BAADA YA BOMU KAMANDA MBOWE AKIFANYA JUHUDI ZA KUWATAFUTIA USAFIRI MAJERUHI
WANANCHI WAKIWA WAMEPIGWA NA MSHANGAO BAADA YA BOMU KULIPUKA
BAADA YA BOMU KAMANDA MBOWE AKIFANYA JUHUDI ZA KUWATAFUTIA USAFIRI MAJERUHI
BAADA YA BOMU KAMANDA MBOWE AKIFANYA JUHUDI ZA KUWATAFUTIA USAFIRI MAJERUHI
LEMA AKIWA NA MBOWE WANAJADILIANA BAADA YA BOMU KULIPULIWA
MWESHIMIWA MBOWE AKIKIMBIA BAADA YA POLISI KUANZA KUPIGA MABOMU YA MACHOZI
PICHANI NI BOMU LA MACHOZI LILILORUSHWA NA POLISI BAADA YA TUKIO LA BOMU
AWALI KABLA YA TUKIO HILO MAKAMANDA WAKIWA JUKWAANI
LEMA AKIONGE NA WANANCHI
WATU WAKIWA WAMEACHA NJIA HILI KAMANDA APITE
KAMANDA MBOWE AKIWA ANAINGIA
AMANI GOLUGWA AKIHUTUBIA MKUTANO
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia