mbunge wa jimbo la Arumeru mashariki JOshua Nassari akiwa amelala
katika hospitali ya seliani huku akimuonyesha muandishi wa habari
sehemua ambayo ilichanwa na watu waliohusika kumpiga katika eneo la
zaburi makuyuni wakati alipokuwa akisimamia uchaguzi
NASSARI APIGWA WAKATI AKITEMBELEA VITUO VYA KUPIGIA KURA MAKUYUNI
bywoinde
-
0