MWENGE WA UHURU WAINGIA JIJINI ARUSHA


Magessa 1Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo akizungumza mara baada ya kuupokea Mwenge wa Uhuru uliofika katika Mkoa wake.. Sherehe za Mwenge mkoani hapa zinatarajiwa kufanyika kesho katika viwanja jirani na Kanisa la St Theresa

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post