TWASIRA MSHIKE MSHIKE WA JANA ARUSHA MABOMU YARINDIMA ,MATAIRI YACHOMWA ,MAWE YAPANGWA NJIANI

ASKARI WAKIWA WAMEIMARISHA ULINZI.VIZUIZI MBALIMBALI VIKIWA VIMEWEKWA BARABARANI WAKATI WA VUR
UGU ZA WANANCHI NA POLISI JIJINI ARUSHA LEO.
 VIZIWIZI MBALIMBALI VIKIWA VIMEWEKWA BARABARANI WAKATI WA VURUGU ZA WANANCHI NA POLISI JIJINI ARUSHA LEO.MOTO UKIWA UNAWAKA KATIKATI YA BARABARA WAKATI WA VURUGU HIZOWASAMALIA WEMA WAKIMSAIDIA MTOTO BAADA YA KUTOKA VURUGU HUKU NYUMA YAO KUKIWA NA KUNDI KUBWA LA ASKARI.Sehemu ya umati wa waombolezaji wa wahanga wa mlipuko wa bomu wakiwa katika viwanja vya Soweto mjini Arusha wakiwa kwenye maombolezo muda mfupi kabla ya polisi kuwatawanya na kuwapiga mabomu
 
 

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post