MAREHEMU LANGA KILEO AAGWA LEO NYUMBANI KWAO MIKOCHENI
Mwili wa marehemu langa ukiwa umeishafika nyumbani kwa ajili ya kuombewa na kuagwa
Baadhi ya ndugu na jamaa waliofika kuuaga mwili wa Marehemu langa Nyumbani kwao
<
Mama na Baba wa Marehemu Langa wakiwa na uzuni wakati wa kuagwa kwa mwili wa marehemu Langa leo mchana
Baadhi ya marafiki na wapenzi wa marehemu Langa wakiwa katika makundi










0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia