WAANDISHI WA HABARI ZA UTALII WATUNUKIWA TUZO NA SHIRIKA LA HIFADHI YA TAIFA ( TANAPA) MKOANI IRINGA



2Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki  akimkabidhi Mwandishi Musa Juma kutoka gazeti la Mwananchi  mfano wa hundi  ya shilingi milioni moja na laki tano aliyoshinda baada ya kuandika makala nzuri ya kutangaza utalii wa Tanzania   katika tuzo inayoandaliwa na shirika la hifadhi za taifa TANAPA kwa waandishi wa habari wa Televisheni, Redio na Magazeti katika hafla ya kukabidhi zawadi  kwa washindi watuzo hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya Hiltop Hotel ya mjini Iringa, hafla hiyo imefanyika baada ya mkutano wa siku mbili kati ya wahariri wa vyombo vya habari na TANAPA katika  ikiwa na kauli mbiu ya Jukumu la Vyombo vya habari Katika kukabiliana na Ujangili katika hifadhi za taifa uliomalizika Iringa, kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi.PICHA NA FULLSHANGWE-
IRINGA 3Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki  akimkabidhi Mwandishi Albano Midelo wa Gazeti la Dira tuzo  aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 4Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki  akimkabidhi Mwandishi Alex Magwiza wa TBC tuzo  aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 5Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki  akimkabidhi Mwandishi David Azaria wa Sahara Media  tuzo  aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 7Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki  akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali alioongozana nao katika hafla hiyo kutoka kulia ni Adam Swai Katibu Tawala msaidizi mkoa wa Iringa,Theresia Mahongo Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa,James Lembeli Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Ardhi, Mazingira na Maliasili na kushoto ni Mkurugenzi wa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 8Mhariri wa habari Chanel Ten Esther Zelamula akitangaza mmoja wa washindi katika hafla hiyo kulia ni Lesara Kabongo Afisa Utalii TANAPA na kushoto ni Meneja Uhusiano wa TANAPA Pascal Shelutete. 9Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki  akimkabidhi Mwandishi Eliya Mbonea wa  gazeti la Rai tuzo  aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 10Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki  akimkabidhi Mwandishi David Rwenyagila wa Radio Five tuzo  aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 11Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki  akimkabidhi Mwandishi Antonio Nugas wa Clouds Media Group tuzo  aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 12 
Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki  akimkabidhi Mwandishi Lilian Shirima wa TBC  tuzo  aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 14Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo za TANAPA mara baada ya kuwakabidhi zawadi zao kutokana na ushindi wao.
1Kikundi cha ngoma cha Mkwawa Magic Site Culture Troupe kikitumbuiza katika hafla hiyo. 4 Lesara Kabongo Afisa Utalii TANAPA kulia na kushoto ni Meneja Uhusiano wa TANAPA Pascal Shelutete pamoja na maafisa wengine wakiwa katika hafla hiyo. 5Jaji mkuu Dr. Ayoub Rioba akitambulisha majaji wa shindano hilo Majaji wa shindano hilo  kulia ni Beatrice Kessy na kutoka kushoto ni Jack Meena na Tuma Abdallah 6 
Wahariri mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo. 7Meneja uhusiano wa TANAPA Pascal Shelutete akitangaza utaratibu wa hafla hiyo 11Baadhi ya wahariri wakifurahia jambo katika hafla hiyo 12Baadhi ya wahariri wakifuatilia jambo katika hafla hiyo.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post