HATIMAYE MWANACHAMA WA CHADEMA AMBEYE NI MWENYEKITI WA CHADEMA KATA YA SOKONI ONE AZIKWA LEO ARUSHA

Hapa ni Sugu akiwa na Peter Msigwa wakiongoza msafara.
Viongozi  wa chadema watua Arusha kwa ajili ya kutoa heshima zao za mwisho kwa wale waliofariki katika mkutano wa Chadema wakati wa mripuko wa bomu. Huku wakishirikiana na wananchi wa Arusha, John Mnyika ataongoza shughuli hizo.
Hili ndilo jeneza lililolobeba mwili wa marehemu ukipelekwa sokon 1
 
 

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia