Watanzania wakipunga mikono wakati wa ufunguzi wa mikutano ya watumishi wa umma barani Afrika hapa Nchini Ghana.
Afisa
Tawala Mwandamizi wa Wizara ya Fedha Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali
Bw. Merkion Ndofi akimkaribisha mwananchi wa Ghana katika banda la
Wizara ya Fedha.
Bw.
William Ghump amabaye ni Ofisa Maendeleo ya Jamii Mwandamizi wa Wizara
ya Fedha na Mkurungezi wa Utawala na Utumishi Bw. Peter Mapigano wa
Benki ya Posta Tanzania pamoja Msemaji wa Wizara ya Fedha Bi. Ingiahedi
Mduma wakipanga mkakati wa uelimishaji umma katika banda la Wizara ya
fedha.
Mkuu
wa Kitengo cha Mikopo kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Wizara ya
Fedha Bi. Christina Ngonyani akitoa ufafanuzi kwa wananchi wa Ghana juu
ya umuhimu wa mikopo kwa Watumishi wa Serikalini.
Afisa
Tawala Mwandamizi wa Wizara ya Fedha, Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali
Bw.Merkion Ndofi akiwaeleza wanafunzi wa Ghana juu ya utendaji kazi wa
Idara ya Utawala katika wizara ya Fedha Nchini Ghana.
Mkuu
wa Kitengo cha Mikopo ya Watumishi wa Umma wa Wizara ya Fedha Bi.
Christina Ngonyani akiwa na Afisa Tawala Mwandamizi Bw. Merkion Ndofi ,
wakitoa ufafanuzi kuhusu utendaji wa kazi za Idara ya Mhasibu Mkuu wa
Serikali kwa wageni waliotembelea banda la Wizara ya fedha.
Waziri
wa Utumishi wa Umma ,Ofisi ya Rais Bi. Celina Kombani na Katibu Mkuu
Bw. George Yambesi walipotembelea banda la Wizara ya Fedha hapa nchini
Ghana.
Msemaji
wa Wizara ya Fedha Bi Ingiahedi Mduma akifafanua jambo kwa Bw. Eugene
Koranteng Henaku wa Umoja wa Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Serilkali za
Mitaa Nchini Ghana.Picha zote na Scola Malinga- Hazina -Tanzania. Picha
na GCU-HAZINA -Ghana.
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia