UCHAGUZI WA KATA NNE ZA JIJI LA ARUSHA KUFANYIKA KESHO
Imebakia masaa machache uchaguzi wa kata nne za jiji la Arusha kufanyika ndugu mwananchi unashauriwa na unakumbushwa kunda kuchagua diwani unae mtaka
kata zinazofanya uchaguzi ni pamoja na Kaloleni,Themi,Kimandolu pamoja na Elerai usiaache kwenda kupiga kura ,kupiga kura ni haki ya kila mtanzania
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia