hii ni barabara kuu ya mabasi yanayo ingia mjini na barabara hii ipo karibu kabisa na uwanja wa Sheikh Amri Abeid
enzi hizo barabara ya jiji la Arusha
hii ndo klabu bomba kuliko zote jijini Arusha ina sifa za kila aina ikiwemo kumbi kubwa za disco pamoja na kumbi za kufanyia sherehe