WAKAZI WA ARUSHA WAPATIWA HUDUMA YA KUSIKIA, NI MSAADA KUTOKA KWA SHIRIKA LA HEARING FOUNDATION LA MAREKANI
![]() |
| Wakazi wa Arusha wakisubiri kupimwa masikio na kupatiwa kifaa cha kuwasaidia kusikia |
![]() |
| Madaktari kutoka Hearing Foundation wakimwekea mtoto kifaa cha kusikia |
![]() |
| Kiongozi wa madaktari hao akitoa maelekezo ya kazi kwa vijana alioongozana nao kwa ajili ya kusaidia zoezi la utoaji wa huduma hiyo katika hospitali ya Seliani jijini Arusha |
![]() |
| Akiendelea kutoa maelekezo muhimu |
![]() |
| Mmoja wa wagonjwa akiwekewa kifaa cha kusikilizia |
![]() |
| mchezaji bora wa mchezo wa rugby nchini Marekani akimpatia mtoto aliyekwisha patiwa kifaa cha kumsaidia kusikia fulana kama zawadi |






0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia