YINGLUCK SHINAWATRA AMBAYE NI WAZIRI MKUU WA THAILAND AWASILI NCHINI TANZANIA

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Thailand Mhe
Yingluck Shinawatra Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013 kwa
ziara rasmi ya siku tatu nchini.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mgeni wake Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra wakipokea heshima.

Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra akikagua gwaride.
Serikali waliofika kumlaki mgeni huyo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mgeni wake Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra wakiangalia burudani ya ngoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mgeni wake Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra.



Waziri
Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra akisalimiana na baadhi ya
raia wa Thailkand wanaoishi nchini alipowasili katika hoteli ya
Kilimanjaro Regency Hyatt jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013
kwa ziara rasmi ya siku tatu.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimuonesha mandhari ya bandari ya salama Waziri
Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra alipowasili jijini Dar es
salaam leo Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiingia Ikulu nwa mgeni wake Waziri Mkuu wa
Thailand Mhe Yingluck Shinawatra alipowasili leo Julai 30, 2013 kwa
ziara rasmi ya siku tatu nchini.
PICHA KWA HISANI YA IKULU
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia