MATOKEO YA UDIWANI ARUSHA YAANZA KUJULIKANA ANGALIA MATOKEO BAADHI YA VITUO VYA KATA YA THEMI
Hatimaye zoezi la kupiga kura limekamilika leo majira ya saa kumi jioni na kiukweli inasikitisha kuona ni idadi ndogo ya wananchi wapiga kura wamejitokeza kupiga kura.
libeneke imeweza kupata baadhi ya matokeo katika kata ya Themi mara baada ya kubandikwa katika ubao za matangazo za ofisi ya mtendaji kata ya Themi ambapo katika vituo vinne vya ambapo kituo A kilikuwa na jumla ya wapiga kura 391 waliojitokeza kupiga kura ni 47 mgombea wa ccm Victor Mkolwe amepatankura 9 ,mgombea wa chadema ambaye ni Kinabo Edwaund amepata kura 23na mgombea wa CUF Lobora Ndarpoi akiwa amepata kura 3

katika kituo B kilichopo katika ofisi ya mtendaji kata CCM wamepata 16,chadema 33 huku CUF wkiwa na kura 02 walijiandikisha kupiga kura ni watu 391 waliojitokeza kupiga kura ni 52 kura halali ni 51 na imeharibika moja
katika kituo kwanza c :CUF Wamepata kura 03 ,CHADEMA 23 na CCM kura 13 waliojiandikisha ni 391 na waliojitokeza kupiga kura ni 39 hamna iliyoaribika ata moja
kwa matokeo zaidi endelea kufatilia libeneke la kaskazini
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia