Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Mkutano wa 32 wa Wadau
wa Posta kwa Nchi za Afrika, ulioanza jijini Arusha leo, Juliai 8, 2013.
Mkutano huo umehudhuriwa na wadau wa Posta kutoka nchi za Afrika.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na baadhi ya Viongozi, Waziri
wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (kushoto)
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Posta kwa Nchi za Afrika (PUPA)
Younouss Djibrine (kulia) na Prof. John Nkoma, Mkurugenzi wa Mawasiliano
Tanzania (wa pili kulia), wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa AICC
jijini Arusha leo Julai 8, 2013 kwa ajili ya kufungua Mkutano wa 32 wa
Wadau wa Posta kwa Nchi za Afrika, ulioanza jijini Arusha leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Shirikisho la
Posta kwa Nchi za Afrika (PUPA) Younouss Djibrine, wakati wa ufunguzi
wa Mkutano wa 32 wa Wadau wa Posta kwa Nchi za Afrika, ulioanza
jijini Arusha leo, Juliai 8, 2013. Mkutano huo umehudhuriwa na wadau wa
Posta kutoka nchi za Afrika
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, wakati akifungua rasmi mkutano huo leo kwenye Ukumbi wa AICC,
jijini Arusha.
Kikundi cha Kwaya cha Jijini Arusha kikitoa burudani.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof.
Makame Mbarawa, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mhe. Makamu
wa Rais kufungua mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi
ya washiriki baada ya kufungua mkutano huo