
Mama
Salma Kikwete akikaribishwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis
Mwamunyange katika sherehe za Kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa
JWTZ katika Chuo cha Kijeshi Cha Monduli, Arusha, Ijumaa Julai 13, 2013

Baadhi
ya maafisa waandamizi wa katika sherehe za Kutunuku Kamisheni kwa
Maafisa wapya wa JWTZ katika Chuo cha Kijeshi Cha Monduli, Arusha,
Ijumaa Julai 13, 2013

Maafisa
katika sherehe za Kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa JWTZ katika
Chuo cha Kijeshi Cha Monduli, Arusha, Ijumaa Julai 13, 2013

Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Majeshi
Jenerali Davis Mwamunyange katika sherehe za Kutunuku Kamisheni kwa
Maafisa wapya wa JWTZ katika Chuo cha Kijeshi Cha Monduli, Arusha,
Ijumaa Julai 13, 2013

Mkuu wa Chuo akimlaki Amiri Jeshi Mkuu

Maafisa waandamizi wakimkaribisha Amiri Jeshi Mkuu
Karibu Amiri Jeshi Mkuu
Rais
Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda. Kulia ni Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Shamsi Vuai Nahodha
Amiri Jeshi Mkuu akisalimiana na Mhe Shamsi Vuai Nahodha
Rais Kikwete akisalimiana na Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo ambaye sasa ni Balozi wa Tanzania nchini China
Amiri
Jeshi Mkuu akiwasili katika sherehe za Kutunuku Kamisheni kwa Maafisa
wapya wa JWTZ katika Chuo cha Kijeshi Cha Monduli, Arusha, Ijumaa Julai
13, 2013
Waziri
Mkuu Mhe Mizengo Pinda akiongozana na Mama Salma Kikwete na Mkuu wa
Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange kuelekea katika uwanja wa gwaride
katika sherehe za Kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa JWTZ katika
Chuo cha Kijeshi Cha Monduli, Arusha, Ijumaa Julai 13, 2013
Amiri Jeshi Mkuu akielekea kwenye uwanja wa Gwaride
Rais Kikwete akipungia kadamnasi ya familia na askari waliohudhuria sherehe hizo
Amiri Jeshi Mkuu akiingia uwanjani
Amiri Jeshi Mkuu akipokea saluti
Sehemu ya umati wa wananchi
Saluti wakati wa wimbo wa Taifa
Maafisa waandamizi wakipokea wimbo wa Taifa
Wimbo wa Taifa
Amiri Jeshi Mkuu akikagua gwaride la Maafisa Kadet wataotunukiwa Kamisheni
Ukaguzi wa gwaride ukiendelea
Bendi ya JWTZ
Amiri Jeshi Mkuu baada ya kumaliza kukagua gwaride
Sehemu ya wananchi
Wananchi wa kila rika na jinsia walikuwepo
Sehemu ingine ya umati wa wananchi
Jukwaa kuu
Maafisa waandamizi jukwaa kuu
Kikosi cha bendera kikiongoza gwaride
Maafisa waandamizi wa nchi marafiki
Baadhi ya maafisa
Kikosi cha bendera kikipita mbele ya jukwaa kuu kwa ukakamavu
Mguu juu...
Maafisa kadeti wakionesha ukakamavu wao
Hakikwa wameiva
Kwata la nguvu
Afisa kadeti kutoka visiwa vya Ushelisheli akiongoza
Askari wasindikizaji wakipita mbele ya jukwaa kuu
Ukakamavu na nidhamu ya hali ya juu
Saluti kwa maafisa kadeti wapya
Mguu sawa
Maafisa wakipiga saluti
Pongezi kwa mhitimu bora wa jumla Kelvin Elisha Ngondo
Hongera mhitimu bora katika masomo nadharia Charles Biswalo Malima
Mhitimu bora wa masomo ya vitendo Amosi Mwitarangi
Pongezi kwa Afisa Kadeti Pool kwa kuibuka mhitimu bora toka nje ya nchi Gerald Daniel Louis Wong-Pool
Mbawa kwa mhitimu bora wa jumla wa mafunzo ya urubani mwanamke Hadija Haruna Ibrahim
Mbawa kwa mhitimu wa mafunzo ya urubani mwanaume Zacharia Kimaro
Amiri Jeshi Mkuu akijiandaa kutunuku kamisheni kwa wahitimu
Amiri Jeshi Mkuu akitunuku kamisheni kwa wahitimu
Kiapo cha utii
Maafisa waandamizi
Sehemu ya maafisa waandamizi wakufunzi
Maafisa wandamizi wa nchini na wa nje
Baadhi ya majenerali wastaafu wakiwa jukwaa kuu
Juklwaa kuu
Wahitimu wakiumba umbo la Omega kukamilisha mafunzo rasmi
Kwaya ya Bujora JKT ikitumbuiza
Baadhi ya wanahabari wa Arusha
Burudani ya ngoma ya Kimasai
Amiri Jeshi Mkuu akiwa na furaha baada ya kutunuku kamisheni
Wahitimu
Picha na wahitimu
Picha na wahitimu wanawake
Picha na wahitimu wa nchi za nje
Picha na wakufunzi
Amiri
Jeshi Mkuu, Waziri Mkuu, Mkuu wa Majeshi na Mkuu wa Majeshi Mstaafu
Jenerali Mirisho Sarakikya wakifurahia baada ya shughuli kwisha.