CHEKI DIAMOND ALIVYOMWAMBIA MAMAAKE SIKU YAKE YA KUZALIWA
Tazama
hata hapa najikuta nakosa cha kukiandika maana kila niliandikalo naona
kama bado halitoshi kuelezea Hisia, Upendo, Thamani na Heshima yangu
Kwako...
Nakupenda
sana Mama yangu, Mwenyezi Mungu akuzidishie Maisha marefu yenye Afya na
furaha ili uzidi kuniongoza vyema Mwanao, Maana Bila wewe Mbele kwangu
ni kiza...
Sad baby had to work! He missed alot! Buh hey!!! I represented him...... Again Happy birthday Mama... Cc@diamondplatnumz



0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia