HAYA NDOMAZISHI YA DKT JUDITH KAHAMA MARO JIJINI DAR ES SALAAM

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya Msiba wa marehemu Dkt, Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es salaam, leo Julai 11, 2013
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano w a Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji baadhi mume  wa marehemu, Profesa Maro,  wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt. Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam leo Julai 11, 2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na baba wa marehemu Sir George Kahama sambamba na viongozi wengine wakati walipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam leo Julai 11, 2013.
Gari lililobeba mwili wa marehemu likiwasili katika makaburi ya Kinondoni kwa mazishi
Mume wa marehemu Profesa Maro akiwa katika gari hilo na watoto wake
Profesas Maro akiwasili makaburini
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii akitoa mkono wa pole kwa Profesa Maro
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa mkono wa pole kwa mfiwa
Mama Salma Kikwete akitoa mkono wa pole
Mama Salma Kikwete akimpa pole binti wa marehemu
Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa marehemu
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa pole kwa wafiwa
Pole kwa wafiwa
Pole kwa wafiwa
Sehemu ya waombolezaji
Rais Kikwete akiongea na Profesa Maro, mume wa marehemu
Waombolezaji wakiwa mazishini
Sehemu ya waombolezaji
Watoto na ndugu wa marehemu
Sala ya mazishi
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa na ndugu wa marehemu
Padri Paul Haule akiongoza mazishi
Profesa Maro akiweka udongo kaburini
Wazazi wa marehemu wakiweka udongo kaburini
Mama Anna Mkapa akiweka udongo kaburini
Rais Kikwete na Mama Salma wakiweka udongo kaburini
Fred Maro akiweka udongo kaburini

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia