WASHINDI WA TUZO ZA HABARI ZA TANAPA WAKITEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII AFRIKA YA KUSINI

Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA wakiwa  nje ya jengo la Makumbusho ya Ubaguzi wa Rangi.
      Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA wakiwa nje ya nyumba ya Rais wa Kwanza mzalendo Nelson Mandela jijini Johannesburg, Afika ya Kusini. Kutoka kushoto ni Festo Sikagonamo (ITV), Albano Midelo (Nipashe), Phinias Bashaya (Mwananchi), Lilian Shirima (TBC 1) na Alex Magwiza (TBC Taifa).
  Festo Sikagonamo akiangalia kwa umakini kitanda kilichokuwa kikitumiwa na Mzee Nelson Mandela
  Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA wakiwa na  mwanahabari kutoka Reuters aliyetega camera yake nje ya nyumba ya Mzee Nelson Mandela.
 
 
Lilian Shirima wa TBC 1 akiwa amembeba kitukuu cha Mzee Nelson Mandela  mara baada ya kutembelea nyumbani kwa Winnie Mandela.


   

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post