ANGALIA MAMBO YA VIGORI WA SWAZLAND

Baadhi ya Wasichana vigori wa Swazland wakiwa kwenye gwaride rasmi tayari mmoja wao kuchaguliwa na King Mswati 11 kuwa mke wake. Mchakato huo hufanyika kila mwaka.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post