
Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Wasambazaji
wa Mafuta na Gesi hapa nchini,Jerry Silaa akizungumza machache wakati
wa kufungua rasmi mkutano huo leo,kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini
Dar es Salaam.

Mwenyekiti
wa Bodi ya Washauri wa Madini kutoka Wizara ya Nishati na
Madini,Richard Kasesela akizungumza wakati akiwasilisha mada yake ya
namna ya kupata leseni ya uwekezaji kwenye jamii hapa nchini.wakati wa
Mkutano wa Wasambazaji wa Mafuta na Gesi hapa nchini unaofanyika kwenye
Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency,Dar es Salaam.Katika Mada
yake hiyo,Pia Kasesela amesisitiza umuhimu wa Wawekezaji kuwa karibu na
Jamii inayowazunguka ikiwa ni pamoja na kujenga makazi ya kudumu katika
maeneo ya migodi yao.

Mwenyekiti
wa Bodi ya Washauri wa Madini kutoka Wizara ya Nishati na
Madini,Richard Kasesela akiendelea kuwasilisha mada yake ya namna ya
kupata leseni ya kuweza uwekezaji kwenye jamii hapa nchini.wakati wa
Mkutano wa Wasambazaji wa Mafuta na Gesi hapa nchini unaofanyika kwenye
Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency,Dar es Salaam.

MC ya Mkutano wa Wasambazaji wa Mafuta na Gesi hapa nchini,Taji Liundi akizungumza jambo wakati wa mkutano huo.

Mkurugenzi
wa Mtendani wa Kampuni ya Moil,Alkarim Hirani akiuliza swali juu ya
swala la uwekezaji wakati wa Mkutano wa Wasambazaji wa Mafuta na Gesi
hapa nchini unaoendelea leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt
Regency,Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendani wa Kampuni ya Proactive Solutions,Nesrory Phoye akiuliza swali.


Maswali yakiendelea kwa mada mbali mbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye mkutano huo.

Mhadhiri
na Kiongozi wa Wanafunzi wa Kituo cha Mafunzo ya Takwimu Afrika
Mashariki,Dkt. Camillus Kassala akiwasilisha mada yake iliyokuwa inahusu
uwezekano wa Serikali za Mitaa zinavyoweza kushiriki kwenye Miradi
Mikubwa wakati wa Mkutano wa Wasambazaji wa Mafuta na Gesi hapa nchini
unaoendelea leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency,Dar
es Salaam.









Wadau
mbali mbali wakifatilia kwa makini mada zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye
Mkutano wa Wasambazaji wa Mafuta na Gesi hapa nchini unaoendelea leo
kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency,Dar es Salaam