Msanii
wa Muziki wa Bongo Fleva,Nassib Abdul a.k.a Diamond akiwajibika
jukwaani sambamba na madansa wake wakati Onyesho Kabambe la Kilimanjaro
Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika kwenye Uwanja wa Ushirika Mjini
Moshi ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro mwishoni mwa wiki na kuhudhuliwa na
maelfu ya wakazi wa Moshi na mikoa ya Jirani waliokataa kupitwa na
Onyesho hilo.
Msanii
wa Muziki wa Bongo Fleva,Nassib Abdul a.k.a Diamond akiwapagawisha
mashabiki wake wakati Onyesho Kabambe la Kilimanjaro Tanzania Music Tour
2013,lililofanyika kwenye Uwanja wa Ushirika Mjini Moshi ndani ya Mkoa
wa Kilimanjaro mwishoni mwa wiki na kuhudhuliwa na maelfu ya wakazi wa
Moshi na mikoa ya Jirani waliokataa kupitwa na Onyesho hilo.
Wanamuziki
wakongwe katika medani ya muziki wa kizazi kipya, Judith Wambura a.k.a
Lady Jaydee na Joseph Haule au ukipenda waweza muita Profesa Jay
wakiburudisha maelfu ya mashabiki wa muziki waliofurika katika Uiwanja
wa Ushirika mjini Moshi mwishoni mwa wiki katika muendelezo wa Maonyesho
ya Tamasha la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013.
Mkali wa RnB,Ben Pol akifanya vitu vyake jukwaani.
Barnaba Elias nae kwa nafasi yake na uwezo wake akiwajibika stejini.
Snura
Mushi a.k.a Mamaa wa Majanga akionesha umahiri wake mbele ya mashabiki
wake wa mkoa wa Kilimanjaro waliofurika kwa wingi katika Uwanja wa
Ushirika kushuhudia onyesho la Tamasha la Kilimanjaro Tanzania Music
Tour 2013.
Kundi
bora la muziki wa Reggae Tanzania kwa mujibu wa tuzo za Kilimanjaro
Tanzania Music Awards 2013. Warriors from the East, wakionesha uwezo
wao katika kulimiliki jukwaa kwenye onyesho la tatu la Tamasha la
Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika kwenye Uwanja wa
Ushirika mjini Moshi mwishoni mwa wiki.
Mkali wa Miondoko ya Miduara,AT akiwapagawisha mashabiki wake lukuki ndani ya Uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
Kundi
bora la muziki kwa mujibu wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards
2013,Jambo Squard, wakionesha ubora wao katika jukwaa la tatu la
ziara Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013 zinazoendelea nchi nzima.
Mwamba wa Kaskazini, John Makini akifanya vitu yake jukwaani.
Roma Mkatoliki.
Mwanamuziki bora wa Hip Hop 2013, Kala Jeremiah akiwarusha mashabiki wake juzi katika viwanja vya Ushirika jijini Moshi.
nyomii
Jay Dee
Prof. Jay a.k.a Mti Mkavu.
Swagga za Diamond na timu yake jukwaani.
Wakazi wa Moshi na Mlima wao Kilimanjaro.
Wadau wa Moshi wakikata kiu na kilaji cha Kilimanjaro
Meneja
Masoko wa TBL,Mamungai (shoto) Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George
Kavishe (kulia) pamoja na wadau ndani ya uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
Wadau wakipata Bonge la Kiburudisho.
Snura na Mapacha wake.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe (pili kushoto) wakiwa na Lady Jay Dee,Prof. Jay,Gardiner Habash na Kiboya.
Wakali wa Mang'ong'oo a.k.a Jambo Squad.
Wadau.
Wadau
Wapiganaji ndani ya Nyumba.
Mdimu na Daniel Lema wa Integrated.
Shangwe zilitawala muda wote wa Show.
Ma MC,Abdallah Ambua na Zembwela
Nyomi la hatari.
Umati
wa mashabiki wa muziki wa kizazi kipya waliofurika katika viwanja vya
Ushirika mjini Moshi kushuhudia tamasha la tatu la ziara ya Kilimanjaro
Tanzania Music Tour 2013 zinazoendelea nchi nzima.Picha zote na Othman
Michuzi.