SIKU TBL ILIPOTOA ZAWADI KWA WAANDISHI WALIOSHINDA ZOEZI LA KUTAMBUA AINA YA KINYWAJI


mmoja wa mameneja wa kiwanda cha TBL Arusha wakimkabidhi mshindi Veronica Mheta

Mwandishi Veronica Mheta akipokea boksi la bia aina ya Castle baada ya kuwa mshindi wa kwanza, pia alizawadiwa begi, tshirt mwavuli na boksi mbili za pia

Meneja Mawasiliano wa TBL Doris akimkabidhi Tshirt na mwavuli mshindi wa kwanza wa kutambua aina ya bia Veronica mheta

Mwandishi Yasinta Amon akikabidhiwa zawadi zake baada ya kuibuka mshindi wa pili

Mshindi wa tatu akikabidhiwa zawadi zake ambazo ni boksi moja la bia, tshirt na mwavuli

Mshindi wa tatu akifurahia zawadi

Mwandishi Woinde shizza mwanablog akiwa katika pozi katika hafla hiyo, pembeni ni mwandishi wa gazeti la Upendo Tetula Bernad

Mwandishi Tetula Bernad akiwa katika pozi pamoja na mwandishi mwenzake Woinde shiza huku wakiendelea kutumia vinywaji vya kampuni ya TBL

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post