JUSTINE NYARI AKUTANA NA WAFANYAKAZI WAKE NA KUWAPA CHANGAMOTO ZA KAZI, NI KATIKA UKUMBI WA POLICE OFFICERS MESS
| mmoja wa wasimamizi wa wafanyakazi wa kampuni ya JNM akichangia mada katika mkutano huo |
| wafanyakazi wakisikiliza kwa makini |
| Mmoja wa wafanyakazi akichangia |
| wafanyakazi wakisikiliza kwa makini |
| mmoja wa wafanyakazi mbele akijaribu kueleza kiwango cha mshahara ambacho angependa walipwe mbele ya mkurugenzi Justine Nyari |
| Mkurugenzi wa JNM Justine Nyari akijibu hoja za wafanyakazi |
| Mkurugenzi wa JNM akijibu hoja za wafanyakazi |
| Mkurugenzi wa JNM Justine Nyari akiagana na Meneja wake baada ya kumalizika kwa mkutano huo |
| mmoja wa wafanyakazi akiomba dua ya kufunga mkutano huo |
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia