Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha kuhitimu Kozi maalum ya Kwanza ya Mafunzo, katika
Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) ACP Charles Omari Mkumbo, wakati wa
sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo hicho, Kunduchi
jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha kuhitimu Kozi maalum ya Kwanza ya Mafunzo, katika
Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Hassan Khatib Hassan, wakati wa sherehe
za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo hicho, Kunduchi jijini
Dar es Salaam, leo.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha kuhitimu Kozi maalum ya Kwanza ya Mafunzo, katika
Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) ACP Faustine Martin Kasike, wakati wa
sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo hicho, Kunduchi
jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha kuhitimu Kozi maalum ya Kwanza ya Mafunzo, katika
Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Brig Gen Yacoub Hassan Mohamed, wakati
wa sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo hicho,
Kunduchi jijini Dar es Salaam, leo.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha utambulisho wa Ukufunzi wa Kozi maalum ya Kwanza
ya Mafunzo, katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Gen Mstaafu wa Jeshi,
George M. Waitara (Rtd) wakati wa sherehe za kufunga Kozi hiyo
zilizofanyika katika Chuo hicho, Kunduchi jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha utambulisho wa Ukufunzi wa Kozi maalum ya Kwanza
ya Mafunzo, katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Prof. Ibrahim
Lipumba, wakati wa sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika
Chuo hicho, Kunduchi jijini Dar es Salaam, leo.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha utambulisho wa Ukufunzi wa Kozi maalum ya Kwanza
ya Mafunzo, katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Dkt. Regnald Abraham
Mengi, wakati wa sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo
hicho, Kunduchi jijini Dar es Salaam, leo.

Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe hizo, waliochanganyikana na wahitimu.

Baadhi ya Mabalozi wa Nchi za nje nchini Tanzania (kulia), waliohudhuria sherehe hizo (kushoto) ni baadhi ya wahitimu.

Baadhi ya wahitimu wa Kozi hiyo, wakiwa na zawadi na Vyeti vyao baada ya kukabidhiwa na mgeni rasmi.

Makamu
wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akihutubia wakati akifunga
rasmi Kozi ya kwanza ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), katika sherehe
za maafali ya wahitimu wa mafunzo hayo zilizofanyika chuoni hapo
Kunduchi, Jijini Dar es Salaam, leo.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozwa na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Charles Makakala,
wakati alipokuwa akitembelea katika Maktaba ya chuo hicho, baada ya
kufunga rasmi Kozi ya Kwanza ya Chuo hicho, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na baadhi ya viongozi, wakiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na
wahitimu wa Kozi hiyo, baada ya kufunga rasmi Kozi ya Kwanza ya Chuo
hicho, leo.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya Wakufunzi wa Kozi hiyo, Eginald Mihanjo, Reginald
Mengi na Ibrahim Lipumba, baada ya kufunga rasmi Kozi ya Kwanza ya Chuo
hicho, leo.
0 Comments
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia