
Mbunge wa Mbeya Mjini -Chadema Joseph
Mbilinyi aka Sugu akihutubia Mamia ya wananchama wa Chadema kwenye
mkutano wa hadhara mbeya


Picha juu ni Sehemu ya mamia ya wafuasi
wa chadema wakimsikiliza Mbunge wa Mbeya Mjini-Chadema Joseph Mbilinyi
na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Walipokua wakihutubia
mkutano wa hadhara.

Mbunge
wa Mbeya Mjini-Chadema Joseph Mbilinyi aka Sugu(wa nne kushoto)na
mbunge wa arusha mjini-chadema godbless lema(wa tatu kulia)wakiwa kwenye
mkutano wa hadhara mjini mbeya