BREAKING NEWS WATU ZAIDI YA 30 WAMEFARIKI DUNIA KUTOKANA NA MVUA KUBWA KUNYESHA USIKU WA KUAMKIA LEO HUKO KAHAMA
ZAIDI ya watu 30 wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo na wengine kujeruhiwa ,Tukio hilo limetokea Isaka kahama kutokana na mvua kubwa ya mawe na upepo iliyonyeshausiku kucha ,taarifa zaidi zinafatiliwa ,poleni wote mliokutwa na janga hilo
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia