CFAO MOTORS WAIFIKISHA KWA MARA YA KWANZA MERCEDECE BENZ GCL CLAA JIJINI ARUSHA‏



Mkurugenzi wa kampuni ya kuagiza,kuuza na kutengeneza magari ya Arusha Arts,  Gunvant Sachev (kushoto) akipokea tuzo ya uwakala bora katika kuuza vipuri na magari aina ya mercedece benz kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya CFAO Motors, Wayne McIntosh (wapili kushoto) wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa gari aina ya mercedece benz GCL class jijini arusha ikiwa ni mara ya kwanza gari hiyo kuingizwa jijini Arusha.
 

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia