MAMIA YA WANAFUNZI WAKIANDAMANA KUADHIMISHA SIKU YA PAI DUNIANI KANUNI YA MAHESABU INAYOTUMIKA DUNIANI KOTE

Sehemu ya umati wa wanafunzi walioandamana jana  katika maadhimisho ya siku
ya Pai duniani kanuni maarufu ya hesabu inayotumika duniani kote,lengo la
maandamano hayo yaliyoanzia kwa mkuu wa mkoa na kuishia shule ya msingi
Arusha School ni kuhamasisha wanafunzi kupenda hesabu,kauli mbiu ni "Nafasi
ya Hesabu katika maendeleo ya taifa

 Sehemu ya umati wa wanafunzi walioandamana jana  katika maadhimisho ya siku
ya Pai duniani kanuni maarufu ya hesabu inayotumika duniani kote,lengo la
maandamano hayo yaliyoanzia kwa mkuu wa mkoa na kuishia shule ya msingi
Arusha School ni kuhamasisha wanafunzi kupenda hesabu,kauli mbiu ni "Nafasi
ya Hesabu katika maendeleo ya taifa.Picha na Ferdinand Shayo wa libeneke la kaskazini blog

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia