ALI KIBA ASEMA “CHEKECHA-CHEKETUA NI ZAIDI YA MWANA

 http://vmgafrica.com/wp-content/uploads/2015/02/ALI-KIBA.png
Hit Maker wa Mwana ALI KIBA amesema kuwa ngoma yake Chekecha-Cheketua Itakuwa kali kuliko Mwana ambayo imefanya na Bado inafanya poa sana Afrika Mashariki.
Akipiga Stori na Kipindi cha DUNDO cha Mambo Jambo Radio Ali Kiba amepata kuyafunguka Hayo wakati akiwaweka sawa Mashabiki wake Maana halisi ya alichokiimba na kuwapanga Kuipokea Ngoma yake ambayo Inatoka Rasmi tar. LEO TAR. 27 February ambayo imefanywa Chini ya Studio za Chedaz Records na Producer Abby Daddy anaamini ni ngoma itayobamba zaidi kwani ana uhakika na mawe ambayo tayari ashayaweka kwenye manati tayari kwa ajili ya watu wake so mkae tayari.
Amesema Inatoka Audio kwanza then video itakuja soon..
HIZI NI COVER ZA NGOMA HIYO
 

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post