CHEKI YAMOTO BAND WALIVYOFUNIKA KATIKA UKUMBI WA RAYOL REGENCY HUKO UK LONDON
bywoinde-
0
Vijana wa Yamoto Band jumamosi iliyopita Walipiga Bonge moja la Show huko UK London katika Ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na watu kibao wanaoishi huko, Hizi ni picha za matukio katika Show Hiyo.