BREAKING NEWS

Tuesday, March 10, 2015

MAAFISA KUTOKA SHIRIKA LA MAREKANI LA MISAADA USAID WAKINUNUA BIDHAA ZA UTAMADUNI ZILIZOTENGENEZWA NA KINA MAMA WA KIMASAI KIKUNDI CHA LIMCA WANAOJIHUSISHA NA VIKUNDI VYA UJASIRIAMALI

Maafisa wa  Shirika la Marekani la kutoa misaada la Marekani  la  USAID  waliokuwa wakitazama Bidhaa zinazotengenezwa na Wajasiriamali Wanawake kutoka jamii ya Wamasai Wafuagaji  Wa kikundi cha LIMCA  kilichoko kata ya Terrat ,Arusha walipotembelea kuona utekelezaji wa miradi inayofadhiliwana shirika hilo inayotekelezwa na Mradi wa Pamoja tuwalee ,World Education Inc na Cente for Women and Children

Share this:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Back To Top
Copyright © 2014 MOUNT KILI NEWS. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates