Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la
Fastjet Tanzania Jimmy Kibati akiongea na wandishi wa habari Mkoani
Arusha leo wakati wa uzinduzi wa safari mpya ya ndege ya Fastjet kutoka
Kilimanjaro kwenda Mwanza na Kilimanjaro kwenda Entebe Uganda, pembeni
yake kulia ni Lucy Mbogoro Afisa Mahusiano na Masoko na kushoto
ni Neema David Afisa Biashara wote toka shirika hilo.
Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la Fastjet Tanzania Jimmy Kibati akimkabidhi
tiketi mwandishi wa habari toka Tbc Sechelela Kongola aliyeshinda zawadi
ya tiketi ya bure ya kusafiri kwenda Mwanza na kurudi Kilimanjaro wakati
wa uzinduzi wa safari mpya wa shirika hilo toka Kilimanjaro kwenda
Mwanza na Kilimanjaro kwenda Entebe Uganda hafla hizo zilifanyika Mkoani Arusha
Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la Fastjet Tanzania
Jimmy Kibati akimkabidhi tiketi mwandishi wa habari toka gazeti la East
African Business Week ,Elisha Mayallah aliyeshinda zawadi ya tiketi
ya bure ya kusafiri kwenda Mwanza na kurudi Kilimanjaro wakati wa uzinduzi
uliofanyika Mkoani Arusha wa safari mpya wa shirika hilo toka Kilimanjaro
kwenda Mwanza na Entebe Uganda.