Mtoto Mary
Paulo ,mwanafunzi wa Shule ya Msingi akifafanua kuhusu bustani za Mboga mboga
wanazolima shuleni hapo ili kuimarisha lishe,walipotembelewa na Maafisa wa Shirika la Marekani la kutoa misaada la
Marekani la USAID
waliokuwa wakitazama utekelezaji wa miradi inayofadhiliwana shirika hilo
inayotekelezwa na Mradi wa Pamoja tuwalee ,World Education Inc na Cente for
Women and Children
MAAFISA WA SHIRIKA LA MAREKANI LA MISAADA (USAID) WAKIONYESHWA KILIMO CHA BUSTANI ZA MBOGA MBOGA NA MTOTO MARY PAULO WALIPOTEMBELEA MIRADI MBALIMBALI WANAYOIFADHILI
bywoinde
-
0