FM ACADEMIA NDANI YA UZINDUZI WA UKUMBI WA KISASA WA FLOMENA MOSHI

WAsanii wa mziki wa dance wanatarajia kutua mkoani kilimanjaro wilayani hai juma pili hii ya tarehe 5 kwa ajili ya kufanya show ya kufa mtu katika ukumbi wa flomena uliopo wilayani hai , katika show hiyo kutotakuwa na burudani mbalimbali ikiwemo  nyimbo mbalimbali za wasanii hao  ,mpaka sasa tiketi za show hiyo zinapatikana katika ukumbi huo wa flomena,duka la nguo la swaum fashion lililopo arusha

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post