BREAKING NEWS MVUA KUBWA YA MAWE NA UPEPO YAUWA WATU ZAIDI YA 30 USIKU WA KUAMKIA LEO HUKO KAHAMA

ZAIDI ya watu 30 wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo na wengine kujeruhiwa ,Tukio hilo limetokea Isaka kahama kutokana na mvua kubwa ya mawe na upepo iliyonyeshausiku kucha  ,taarifa zaidi zinafatiliwa ,poleni wote mliokutwa na janga hilo

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia