Tume ya Taifa ya Uchaguzi
inawatangazia wananchi wote wa Mkoa wa Njombe, kuwa itaanza zoezi la Uboreshaji
wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa kutumia teknolojia ya “Biometric Voters
Registration” kuanzia tarehe 16/03/2015
hadi tarehe 12/04/2015. Aidha
katika kata ya Utengule ya Mji mdogo wa
Makambako Uboreshaji utafanyika kuanzia
tarehe 9-15/03/2015