Mrembo alieshikilia taji la Redd's Miss Arusha Glory Stephen akipungia watu walongina kuanglia kinyanganyiro hicho mara baada ya kutangazwa mshindi na fasi ya pili ikiwa imeshikiliwa na Nance Mushi
Muaandaaji wa Redd's Miss kanda ya kaskazini Faustin Mwandago akiwa anawapongez warembo walioshinda kinyanganyiro cha Arusha na kuwaambia wote waliongia tano bora anawapa nafasi ya kushiriki kumsaka mrembo wa kanda ya kaskazini
mgeni Rasmi wa sherehe za kumsaka mlibwende wa Arusha (Redd's Miss Arusha)John Mongela katikati afisa utamaduni wa jiji la Arusha akifuatia wa kwanza kulia ni muaandaaji wa Redd's Miss kanda ya kaskazini Mwandago
Warembo waliongia katika hatua ya tano bora Redd's miss Arusha wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutanganzwa wa shindi