waliouthuria hafla hiyo wakiwa wanashangilia kitendo hicho mara baada ya kuzindua nembo hiyo ya Redd's 2012
warembo walioshiriki shindano la kumsaka miss Tanzania mwaka 2011 wakiongozwa na mrembo alienyakuwa taji hilo mwaka huo wakiwa wanazindua nembo hiyo ya miss Redd's Tanzania
watu mbalimbali walimetoa maoni yao kuhusiana na shindano hili la kuwasaka warembo mbalimbali wa Tanzania ambapo baadhi yao walifurahia shindano hilo wengine waliponda na wengine walitoa ushauri.
Libeneke limezungumza na baadhi ambao mmoja wao aliyejiita kwa jina la Rashidi alisema kuwa mashindano haya ni mazuri ila wandaaji wanayaharibu kwakuchukuwa warembo ambao hawana elimu ya kutosha na wengine awana uwezo
Wengine walitoa maoni yao na kudai kuwa wanaomba shindano hili liboreshwe kwakuchagua watu ambao watawakelisha nchi vyema katika swala la urembo na sio kuletea nchi sifa mbaya