SHEIKH AMRI ABEID AIBU TUPU UWANJA UNAADI VICHUGUU

 muonekano wa uwanja wa sheikh Amri Abeid ambao kila timu inayokuja kucheza inalalamika apo viti ambavyo vinatumika kakaliwa na wachezaji wa benchi vikiwa vimeondolowa na viwekwa pembeni
adi vichuguu vimeota ndani ya uwanja huu jamani aibu tupu kwa kiwanja kikubwa kama hiki

Hali ya uwanja wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid ya jijini hapa inatisha libeneke imeshuhudia  kiwanja hiki kinatisha kwa kuwa kibovu na kila timu ambayo inakuja kucheza katika uwanja huu imekuwa ikilalamikia ubovu wa uwanja.

Uwanja huu ambao unamilikiwa na chama cha mapinduzi ni tegemeo kubwa lakini kadri siku zinavyozidi kwenda ndo hali inakuwa mbaya sasa tunaomba wamiliki rekebisheni uwanja kama mmeshindwa kodisheni ili watu waukarabati maana hii ni aibu jamani

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post