No title

nilikutana na meneja wa timu ya Arusha meet kujadili kuhusu timu yake na pia aliniambia kuwa timu yake imejipanga kutwaa ubigwa wa ligi ya mkoa akaniahidi kuongea nae vyema pindi nitakapo tembelea timu kambini nitawajuza kilichojiri

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post