Badhii ya wadau wa utamaduni waliouthuria katika mdahalo wa mchakato wa vazi la taifa wakisikiliza madakwa makini
kila mmoja alijaribu kutafakari vazi hilo liwaje
badhia ya wajumbe wa kamata ya vazi la taifa akiwemo Ndesumbuka Merinyo wakwanza kulia ambaye ni mkurugenzi wa Afrika sana Pub na nimjumbe wa kamati ya vazi la taifa akiwa anawaelewesha wadau waliouthuria katika mdahalo huo wapili kulia ni Angela Ngowi ambae ni mkurugeniz msaidizi wa utamaduni na ni katibu wa kamati hii akifuatwa na Mustafa Hassanali ambaye ni mbunifu wa kimataifa wa mavazi ambaye yeye pia ni mjumbe wa kamati hii.
katika kamati hii waliongea mambo mengi ambapo walijadili jinsi ya kupata vazi hili na pia walitoa wito kwa kila mtanzani kutoa maoni yake juu ya kupata vazi hili la kumtambulisha mtanzania.
Kwa upande wake mmbunifu wa mavazi alisema zoezi hili linaenda vyema na wanaimani watafaulu vyema na wanauhakika wapata ushirikiano kutoka kwa watanzania