Mkuu wa kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Amir Konja akipokea Computer toka kwa shirika la haki za mtoto la jijini hapa kwa niaba ya kamanda wa polisi mkoa wa Arusha katikati ni Cpl Jenoveva wa Dawati la Jinsia na watoto mkoani Arusha