Baadhi ya waandishi wa habari wa
mkoa wa Manyara ambao ni wanachama wa klabu ya waandishi wa mkoa huo (MAMEC)
wakishiriki mafunzo ya kuandaa makala yaliyofanyika juzi mjini Babati,(kushoto)
ni Makamu wa Rais wa muungano wa klabu za waandishi nchini (UTPC) walioandaa
mafunzo hayo Zilipa Joseph
WAANDISHI MANYARA WAFULIWA JINSI YA KUANDIKA MAKALA
bywoinde
-
0