ngoja tufungue rasmi muone keki tuliyowaandalia ya waka waka na Coca Cola
kulikuwepo pia na mashindano ya mpira wa mezani(pooltable)
wafanyazi wa Coca Cola wakiwa wanafungua kitambaa kilichokuwa kimefunika keki
meneja masoko wa Coca cola Salome mbalizi akiwa anakata keki ya Waka waka ishara ya uzinduzi rasmi
muonekano wa keki iliyokuwa imeandaliwa na kampuni ya Coca Cola kwa ajili ya uzinduzi wa Part ya Waka waka iliyozinduliwa katika ukumbi wa Bluu flam ulioko ndani ya Triple A
Msanii Cpwaa akiwa anaimba kwa hisia katika onyesho la waka waka
wacheza shoo wa msanii Cpwaa wakifanya vitu vyao
baadae waandaaji wa Waka waka part wakaanza kunengua nao pamoja na Cpwaa huu wote mzuka