Wahitimu wa chuo cha Eureka wakiwa wanaingia ukumbini katika mahafali yao.
wahitimu wakionekana wakiwa na nyuso za furaha katika sherehe yao ya kuwaaga iliyofanyika leo chuoni hapo
Mwenyekiti wa bodi ya chuo cha Eureka Betrece Asenga akiwa anatoa historia ya chuo mbele ya mgeni rasmi na wageni waalikwa
wahitimu wa chuo hicho wakimsikilizamgeni rasmi kwa makini
meza kuu ambayo mgeni rasmi alikuwa ni meneja msaidizi wa hoteli ya Kimataifa ya Naura Roberty Antoni aliyevaa joho akiwa anaasikiliza risala za wahitimu kwa makini
baada ya yote wahitimu walianza kuserebuka apo walikuwa wakiserebuka mziki wa zamani inayojulikana kama twisti