Hapo ni mkaka , akiwa anajirusha muziki wa Reggae katika studio za radio Triple A, jumapili wakati wa kipindi kinachoitwa POSITIVE VIBRATION, KIPO TRIPLE A FM KILA JUMAPILI
KUANZIA SAA TANO HADI SABA MCHANA...HOST MAN MASAI HAPO yupo na GUEST DJ
GECCO TOKA SWEDEN na huyo MZUNGU,MSANII WA REGGAE ANAITWA YUZZO ambapo walimtembelea katika kipindi chake