Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Arusha Amiri Konja akiongea na waaendesha pikipiki wa mkoani Arusha
Waendesha pikipiki mkoani hapa wametakiwa kufuata sheria za uaalama barabarani pindi wanapoendsha ili kuweza kupunguza ajali zinazosababisha vifo zinazotokea marakwa mara mkoani hapa.
Hayo yamebainishwa na mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoani hapa Amiri Konja wakati akiongea na madereva wa boda boda waliouthuria katika semina ya siku moja iliyokuwa imeandaliwa na kampuni inayotengeneza bajaji kupitia bidhaa yao ya BOxa 150 iliyofanyika katika ukumbi wa sandown uliopo jijini hapa.
Alisema kuwa wanendesha pikipiki au kwajina lingine unaweza kuwaita boda boda wengi wamekuwa wakikuka sheria za usalama barabarni ali inayosababisha ajali za mara kwa mara kutokea.
Alibainisha kuwa kila kazi inaheshima yake iwapo utaifanya kwa kufata sheria hivyo ni wajibu wa kila dereva wa pikipiki kuheshimu kazi yake ili aweze kuheshimika na yeye pia.
"unajua iwapo hawa madereva wataheshimu kazi yao kwa kufata sheria na utaratibu basi kila mtu atawaheshimu na kuwaona ni watu ambao wanatumia akili na wanapata ela kwa kasi lakini wakiendelea na tabia hizi za kuvunja sheria ndo wanazaralulika na mtu aanaona kazi hii kama ni ya wezi na wavuta bangi"alisema Konja
Aliwataka pia wao wenyewe kwa wenyewwe kulinda na kuchungana ili waweze kurekebishana wao kwa wao kwanza na sio kutegemea hadi polisi waje.
"ninasema iwapo umeiona mwenyenzako anafanya kosa muonye na akilirudia mshitaki hata polsisi ili achukuliwe sheria na iwqpo mkifanya ivyo ajali zitapungua na mtaheshimika na kila mtu maana sasa ivi kwakuwa mnajulikana ni wazembe basi mtu anaweza ata kuwagonga makusudi akiulizwa anasema wewe ndo unakosa na kwakuwa nyie wenyewe mmekuwa wazembe na mnavunja sheria mtu anaweza akaamini kwa iyo jirekebisheni"alisema Konja
Alibainisha kuwa wao kama kikosi cha usalama barabarabarani wameanzisha mpangowa operesheni kwa ajili ya pikipiki ambazo zinafanya makosa ya barabarani ikiwemo kuvunja sheria na akikamatwa itamlazimu alipe faini kwa kila kosa ambapo alibainisha makosa machache kuwa iwapo dereva ataendesha bila kuvaa kofia ngumu(elementi)basi atalazimika kulipa kiasi cha shilingi elfu 30 na iwapo ataendesha pikipiki ambayo inaabiria na abiria ajafaa kofia basi atalazimika kulipa kiasi cha shilingi elfu 60 pamoja na makosa mengine mengi ambayo alibainisha faini zake.
Aidha aliwataka madereva hawa kwenda kuchukuwa leseni katika ofisi yake na wakubali kupewa leseni za mitaani kwa kubambikizwa kulipa ela nyingi.
'uanajua bei ya leseni pale kwetu ipo chini sana haifiki ata laki lakini ukichukuwa uku mtaani unaweza kugonjwa hata laki mbili tatu kitu ambacho kitakuumiza wewe mwenyewe sasa cha kufanya jitaidini kuja wenyewe kuchukuwa leseni pale kwangu apa uwi useme ukija utawawa acheni woga njoooni kateni leseni za udereva wa toyo bwana'alisema konja