HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE::BUNGE MAALUM LA KATIBA LAAHIRISHWA KUTOKANA NA VURUGU
Mwenyekiti wa Bunge Mh Samwel Sitta Amelazimika Kuhairisha Bunge Jioni Hiii mara baada ya Kutokea Vurugu.Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katika Jaji Joseph Sinde Warioba Alitakiwa kuwasilisha Rasimu ya Pili katika Bunge Hilo.Wajumbe wa Bunge Walipoingia Ukumbini Ndipo Mwenyekiti wa Bunge Mh Samwel Sitta Alipomwita Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mh Jaji Warioba ,
Wakati Mwenyekiti Huyo aliposimama Kuanza Kuwasilisha Baadhi ya Wajumbe waliendelea Kugonga Meza kwa Nguvu Kuhu Wakizomea na Kusababisha Vurugu Ndani ya Ukumbi wa Bunge na Ndipo Mwenyekiti wa Bunge Mh Samweli Sita alipojaribu Kuingilia Kati Lakini ILishindikana Na Ikalzaimu Kuliahirisha Bunge Maalum La Katiba Mpaka hapo atakapotangaza tena.Endelea Kuwa nasi Kwa taarifa zaidi
Asubuhi SITTA alitangaza Warioba
atalihutubia Bunge la Katiba ktk kuwasilisha rasimu kwa muda wa Saa 2,,
Wajumbe wakatoa Muongozo aongezewe Saa 1 ili atumie saa 3,, SITTA
akakataa hoja hiyo, Ndipo Zitto
akatoa Ushauri "Warioba aruhusiwe kuwasilisha kwa muda bila kikomo kama
ilivyo Hotuba ya Bajeti inavyowasilisha bila Kikomo sababu leo ni siku
ya mawasilisho toka kwake" pia SITTA akakataa.
Hapo wajumbe Wakakasirika na kuamua kukwamisha muda mpaka akubali hoja yao na kukubaliana jioni wapige makofi na kuomba muongozo mpaka hoja za kuongezewa muda zikubalike..
Mbaya zaidi wabunge wa CHADEMA wakiwa na Hasira ya yaliyowasibu KALENGA nao walikuwa Chachu chini ya Lissu.