Kutoka Kushoto ni Marc Wegerif ambaye ni Economic Justice Campaign , Fazal Issa Afisa wa Miradi na Eluka Kibona Meneja wa Ushawishi Wote kutoka OXFAM
Meneja wa Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona akizungumzia mabadiliko ya Tabia nchi jinsi yanavyo athiri katika Kilimo
Marc Wegerif economic justice Campaign Manager kutoka OXFAM akizungumzia juu za ya haki za wanawake katika kumiliki Ardhi na kuitumia ipasavyo kuzalisha Chakula , pamoja na umuhimu wa Bima ya Mazao
Fazal Issa Afisa Miradi kutoka OXFAM akizungumzia juu ya Magonjwa ya mazao pamoja na upatikanaji wa chakula ili kuweza kupunguza maswala ya njaa ambayo ni Tatizo kwa Jamii.
Afisa utetezi wa haki za kiuchumi wa OXFAM Mkamiti Mgawe akijibu maswali kutoka kwa waandishi wa Habari na kuelezea Mikakati pamoja na mipango Endelevu ya OXFAM
Mmoja wa waandishi wa Habari Dotto Kahindi akiuliza swali wakati wa Mkutano huo mfupi
Baadhi ya waandishi wa Habari wakiwa wanafuatilia kwa makini kikao hicho